Faida
-kuondoa sumu, kuimarisha mwili, kuongezeka kwa nishati muhimu, kuimarisha kinga. n.k
FAIDA
-inaondoa kiungulia
-inaondoa maumivu ya tumbo
-ni nzuri kwa aliyekula sumu
-ni nzuri kwa maumivu ya jino
n.k
FAIDA
- inaondoa uchovu
-inasaidia kuboresha mfumo wa kinga ya mwili
-inasaidia kusawazisha homoni.
n.k
FAIDA
-nzuri sana kutumiwa na wazee
-kupunguza uzeekaji wa mifupa
-inaongeza ute ute kwenye joint.
n.k
No comments:
Post a Comment